carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha ujue,eti sanamu la bisimini sijui hata umewaza niniPale Azikiwe na Samora, kwenye sanamu ya Bisimini! [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha ujue,eti sanamu la bisimini sijui hata umewaza niniPale Azikiwe na Samora, kwenye sanamu ya Bisimini! [emoji1][emoji1]
Ndugu yangu. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Mtu huna hili wala lile umezoea kulia samaki wako huku kwetu Mbagala unakuja kushtuka ushahamishiwa downtown bila mwenyewe kujua. Usafiri gani umetumika usiniulize mimi. Na inasemekana ukishahamishiwa downtown mara moja basi kuna uwezekano mkubwa utaomba tena uhamishiwe huko na safari hii utakuwa tayari kulipia gharama zote za usafiri; na mengineyo yote. Mungu na Atusaidie !!!
Alikufa kwa kansa ya koo?The two main types of esophagus cancer are adenocarcinoma and squamous cell carcinoma. Risk factors for both types include age 65 or older, male sex, smoking, excessive alcohol use, a diet poor in fruits and vegetables, obesity, and acid reflux (GERD) with associated transition to Barrett's esophagus.
Jamaa yangu mmoja alikuwa alcoholic vibaya! Nadhani aina hii ya cancer ndio itakuwa ilimuondoa!
Lile tunda halali au lile haramu? Duniya...!!!Tunda la mti wa kati shemeji[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] nashukuruDoc. Umegonga penyewe kabisa. Sijui makala haya umeyatoa wapi lakini ni ya muhimu sana na yangefaa yasomwe na watu wengi iwezekanavyo hasa vijana. Hata watu wengi wanaozimika ghafla wakiwa juu ya vifua vya wapenzi wao mara nyingi ni kuchanganya madawa haya ya kuongeza nguvu pamoja na pombe kwa lengo la kutoa show za kibabe.
Marekani kule kulikuwa na kinywaji cha Four Loko. Hiki kilikuwa na pombe mpaka 14% abv na caffeine ya kutosha. Yaani walichanganya pombe na energy drinks katika kopo moja. Matokeo yake watu wakaanza kuwa wanazimika ghafla kwenye manight clubs na huko mabwenini vyuoni. Kinywaji hiki kilipigwa marufuku katika majimbo mengi na watengenezaji wake ilibidi waondoe caffeine na viungo vingine vilivyokuwa vinakifanya kiongeze nguvu. Kwa sasa kinauzwa kama pombe na siyo energy drink tena; na vifo vimekoma.
Hata viagra tu ikichanganywa na pombe nayo ni hatari kwa sababu ili kusukuma damu ya kutosha kuweza kukiamsha kichwa kidogo kwa muda mrefu moyo ni lazima ufanye kazi ya ziada . Watu wapime kwanza afya za mioyo yao kabla ya kujipigilia haya mared bull na mijibapa.
Asante sana Doc...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]![]()
![]()
Alikufa kwa kansa ya koo?
Unywaji pombe kupita kiasi waleta liver cirrhosis pia ambayo yaweza pelekea liver cancer
Lile tunda pendwa[emoji23] [emoji23] va jay jay[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Lile tunda halali au lile haramu? Duniya...!!!
Aiseeh!Yes, alikuwa mwanachama mzuri sana wa Tanzania Breweries!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha ujue,eti sanamu la bisimini sijui hata umewaza nini
Lile tunda pendwa[emoji23] [emoji23] va jay jay[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Imejitype hiyo bhana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
Tunda la mti wa kati shemeji![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona tunaongea kwa mafumbo sana wakati mijitu mizima? Tunaongelea mbunye au tigo? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️
Imejitype hiyo bhana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila natanani andjul aje alete tafsiri yake mana najua lazima nitacheka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena usiombe akiwa na hang over. Na verse za muziki utapata...na picha husika juu....Ngoja kukuche, ataibuka na tafsiri yake kali! [emoji1][emoji1]