Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maana yake ni kuwa ubongo wa mwanadamu unahitaji kuwa katika hali nzuri ili kutekeleza majukumu kiweledi, ufanisi na ubora. Ndiyo maana makazini kama bosi ataamka vibaya, siku hiyo wafanyakazi watarajie vurumai na ukali zaidi.
 
Kadhalika elimu pia inahitaji utulivu mkubwa wa ubongo ili masomo yaeleweke kwa mwanafunzi.
 
Ingawa taaluma inaweza kuathiriwa na mambo mengi, mjadala wangu leo upo katika maisha ya wazazi nyumbani na maendeleo ya kimasomo ya watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…