Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu nae huo u gynecologist kaupata lini kwa umri huo? [emoji1][emoji1]
Ila tuacheni utani. Ma gynecologists wana kazi ngumu. Ndiyo maana uzeeni wanakuwa na tatizo la kuona na wengi wao wanadevelopu tunnel vision [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Mungu huwa anagawa mibaraka yake Aonavyo Yeye na kamwe haangalii vigezo hafifu vya binadamu dhaifu na mdhambi. Nyinyi wachungaji mmejimilikisha mibaraka yake ya bure na kuiwekea vigezo vyenu feki vya kibinadamu. Eti ukitoa pesa ndo utabarikiwa. Mara ukisambaza ujumbe kwa watu 10. Sasa mmeingilia mpaka likes. Come on man !!!
Naam maneno mubaaashara!
 
529e961f3c77709a84121ea12789b975.jpg
Dah mambo yetu hayo dah!
 
Back
Top Bottom