Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

USHAURI

Wanamichezo wengi sana, wanajeshi na watu wengine ambao hushughulisha miili yao kiasi cha kutosha hawaumwi sana magonjwa yasiyoambukizwa kama ambavyo watu wengine huumwa. Hii ni kwa sababu ya mazoezi na shughuli zao za kila siku. Kama unataka kupunguza kuumwa na magonjwa ya kuumwa basi ni vyema ukajikinga dhidi ya magonjwa haya na ukawa na afya njema kabisa.
 
Asante carb, Mwenyezi mungu akujaalie kwa bandiko hil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…