Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kulikuwa na walimu wangu wa kazi hiyo ambao walinifundisha na walinielekeza nikipatwa na hali kama hiyo nifanye nini. Pamoja na kwenda hospitali, pia nilitumia dawa walizonielekeza wazee hao, ” anasema Kibinja bila ya kufafanua alichoelekezwa na wazee hao.
 
Mwaimbo anasema, “Niliwahi kupata tenda ya kuchimba kaburi, nilikuwa nimekunywa kidogo, sikumbuki vizuri alinipa hiyo tenda nani. Sikumbuki pia ilikuwaje, lakini nililala makaburini bila kujijua na nilipokuja kuzinduka nilikuwa napepesuka, marafiki, majirani na ndugu wakaniambia nimepotea kwa siku mbili.”
 
Back
Top Bottom