Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya muda anapita mtu, mara nyingi ni wanawake. Akikaribia mwanzo wa makaburi eneo hili tulilokaa, anaambiwa kwa sauti ya kukwaruza na kutisha, ‘njoo kinyume nyume. Ndiyo tumesikia shida zako, weka hela hapo chini usigeuke kutazama mizimu. Tutakusaidia, una mitihani mingi umeibeba. Ondoka kwa usawa ulioelekea.”
 
Back
Top Bottom