Unataka kuwa jirani kipenzi?Nimempoteza jirani..
Mwema kabisa..ahame bila kuaga? Haya atapata majirani wengine[emoji23][emoji23]Ulikuwa jirani mwema?
Tuanzie hapo kwanza....
Pengine kahama kimya kimya....
Jirani tu..Unataka kuwa jirani kipenzi?
Kumbuka hata mwanzoni ulichelewa kidogo tu...ha ha haaa !!!
Tutaona.Jirani tu..
Napenda kuwajulia hali majirani zangu..Tutaona.
Interest kubwa unayoionyesha sidhani kama ni ya ujirani tu....
Unaye jirani mmoja tu?Napenda kuwajulia hali majirani zangu..