Mtoto mwenye maradhi ya kuharisha huhitaji majimaji mengi na yanayofaa mwilini mwake, maziwa ya mama na maji yaliyotengenezwa maalumu kwa ajili ya watoto wanaoharisha (ORS), na endapo umri wa mtoto ni zaidi ya miezi sita, apewe pia vinywaji vingine pamoja na vyakula vinavyokubalika kilishe.