Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Apewe dawa ya kufunga kuharisha kwa ajili ya kupunguza makali ya ugonjwa. Endapo choo(kinyesi) cha mtoto anayeharisha kina mchanganyiko wa damu au ni cha majimaji sana na kama anaharisha mara kwa mara, hizo ni dalili za hatari kwa mtoto hivyo apelekwe hospitali bila kucheleweshwa.
 
Kwa watoto wengi, magonjwa ya kikohozi na mafua hupona yenyewe bila kutumia dawa. Hata hivyo endapo mtoto mwenye kikohozi na homa anaonyesha dalili za kupumua harakaharaka au kwa shida, hiyo ni hali ya hatari kwa mtoto hivyo inabidi apelekwe hospitali bila kucheleweshwa.
 
Magonjwa mengi huweza kuzuilika kwa njia ya kudumisha usafi: kunawa mikono kwa sabuni na maji (au kwa kitu kingine kinachoondosha uchafu kama vile majivu na maji) baada ya kutoka chooni au kumfuta mtoto aliyejisaidia kwa karatasi au kitambaa safi na laini, kutupa kinyesi chooni, au mbali na maeneo ya michezo, maeneo ya kukaa,
 
Back
Top Bottom