Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shikamooo pesa !!!
Hawa nao. Wapambane na hali yao huko !!!
Singo mazas mkuu mbona wapo wengi tu? Kuna thread zao kadhaa hapa...Ila kama anavyosemaga rafiki yangu mmoja wa Tukuyu " Mzazi mwenziyo hatongozwi" [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Huyo jamaa wa katikati huyo hajapata replacement mpaka sasa.....