Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kiongozi.Mkuu niaje
Habari za masiku
Wanakwaya kukamatana na kukamatiana ni jambo la kawaida. Kwaya fulani mpaka walishikana ugoni. Haya mambo ni magumu !!!
DC mkereketwa huyu. Hicho kiwanda kisije kikawa cha Mh. Msigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili sakata hili bana mh...