Mkuu hapa tutakupa hofu tu. Ila mtoto kurudi kukaa sawa inawezekana akiwa na miezi nane kurudi chini,ila wenzetu ulaya inawezekana kumrudisha sawa hata akiwa na miezi tisa. Mkeo kujifungua kwa njia ya kawaida ni asilimia chache sana hasa mkimpata dokta mzoefu anaweza saidia. Njia kufunguka huwa inatokea siku tatu au dakika chache kabla ya kujifungua kulingana na mwili wa mhusika
Ni kawaida kwa masuala ya uzazi.kuweni karibu na wataalamu wa afya.
Msiwe na hofu ombeni tu uzima.hasa wewe baba mtu usionyeshe hofu hadharan itamvunja moyo mjamzito. Be brave