Sema Kitambo sana.Ina protein za kutosha
Kweli mkuu
Nilielewa Vibaya nilipoona Kichwa cha UZI.Nani mkuu huyo
Na kuna CHAMPAGNE.Yap hatari balaaa
Ni ELIMU toshaNice song kwa kweli
Njema sana Kiongozi.Mkuu niaje
Habari za leo
MC Hummer ni case study ya jinsi celebrities weusi wasivyo na nidhamu ya pesa....