Najua kuwa wewe haumo ingawa umeutendea haki Uzi uleeeeeeeAkhu mie simo
Hahahaha, loo. Ama kweli mwana wa nyoka.....- DAR: Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Wangwe ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au faini ya Sh. Milioni 5 kwa makosa ya mtandao - Mnamo 15/03/2017 aliandika kwenye mtandao wa Facebook maneno haya “Tanzania ni ambayo inajaza chuki wananchi matokeo ya kubaka Demokrasia Zanzibar ni hatari zaidi ya muungano wenyewe. Haiwezekani nchi ya Zanzibar kuwa koloni la Tanzania bara kwa sababu za kijinga.”
Hee hadi huko unapitaaa!!?Najua kuwa wewe haumo ingawa umeutendea haki Uzi uleeeeeee