mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hii ni coup tu waseme niniAlikanusha kwamba kumekuwepo na mapinduzi ya kijeshi.
Hii ni coup tu waseme niniAlikanusha kwamba kumekuwepo na mapinduzi ya kijeshi.
Muda wa kuondoka umefikaMkongwe maji ya Shingo..
Siku za mwisho hiziDunia haiishi vituko....kula mende!!!
Hahahahaha the bluesHapendi kushindwa
Alipokuwa kijana, Mugabe alikuwa mmakinifu na mzuri kabisa katika mchezo wa tenisi, kulingana na aliyekuwa mwalimu katika shule ya Wakatoliki alikosomea Mugabe. Ila, aliposhindwa katika mchezo huo, aliitupa raketi yake chini kwa hasira.
Mugabe amekiri kuwa hakuwa mzuri katika mchezo wa kandanda alipokuwa mdogo, ila kwa sasa, anapenda kuutazama mchezo huo.
Yeye ni shabiki wa klabu za Chelsea na Barcelona.
Pole zao tamaduni zingine bhanaKulikuwa na kisa kama hicho katika harusi nchini Misri mwezi uliopita kulingana na mtandao wa Stepfeed.
Katika kisa hicho bwana harusi alifanyiwa upasuaji na matibabu baada ya risasi kumpiga katika nyonga yake.
Mapenzi hatari sanaNa alipoendelea kuhojiwa na maafisa wa polisi alikiri kwamba alidanganya ili kukutana na mpenziwe katika eneo la Le Puy-en-Velay, mahakama iliambiwa
WWE ownerVince McMahon...
Mmiliki wa WWETajiri ila nae kuna siku anadundwa..
HahahahahaDear General Chiwenga,
After you are done with Mr. Mugabe, please come for Mr. Wenger
Signed Arsenal Fans !!
[HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] #Zimbabwe [HASHTAG]#Mugabe[/HASHTAG] [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Du[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]After Robert Mugabe, Arsene Wenger now becomes the longest serving dictator. #Zimbabwe
Mchungu sanaAu usiku mtamu kwa mugabe
Hovyo sana viongozi wetu hawaMade in Africa
by Africans
![]()
Vyuma vimebanaNaona quarter ya mwisho ya mwaka mambo yamebana. Watu tunachungulia tu na kusepa! [emoji1]
Kukaa madarakani muda mrefu sio ndio kuleta maendeleo Mimi naona ni uroho tu wa madaraka na ufisadi wa kutishaSina shida na hawa jamaa kama wangekuwa wanafanya mambo ya maana kwa watu wao. Wamekaa sana madarakani lakini hakuna la maana mbali na ufisadi wa kutisha na umasikini uliokithiri kwa watu wao. Sad!!!
Good morning mkuuasubuhi njema
Aminatuombe iwe siku ya amani
Aminatuwasaisie wanaohitaji msaada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema mkuu mambo niajeWakuu ni kwema humu ndani?