Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha the blues
 
Sina shida na hawa jamaa kama wangekuwa wanafanya mambo ya maana kwa watu wao. Wamekaa sana madarakani lakini hakuna la maana mbali na ufisadi wa kutisha na umasikini uliokithiri kwa watu wao. Sad!!!
Kukaa madarakani muda mrefu sio ndio kuleta maendeleo Mimi naona ni uroho tu wa madaraka na ufisadi wa kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…