Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo neno kulitamka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mana nimeshajing'ata tayari
 
Serikali ya Afrika Kusini imesema Rais Robert Mugabe anakutana na wajumbe kutoka nchi za kanda ya kusini mwa Afrika katika juhudi za kujaribu kutatua mzozo wa kisiasa nchini humo.
 
Wanajeshi waliingilia kati na kutangaza kudhibiti serikali Jumatano katika kinachoonekana kuwa juhudi za kumzuia mke wa Mugabe, Grace, asitwae madaraka.
 
Amani inaweza tu kupatikana kwa kuvumiliana na kubadilishana mawazo kwa Wazimbabwe wenyewe. Tukisonga mbele … matukio ya kisiasa yanahitaji kuhusisha wadau wote muhimu humu nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…