carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji817] [emoji817] [emoji817] trueWe fear rejection, want attention, crave affection, and dream of perfection.
Tena mmoja wao alikua mjamzito karibia kujifungua. Kaangalie ni link ya uzi upo humu jukwaa la hoja na habar mchanganyikoTeh!mambo mengine bhana,vyenye binadamu anavyotisha akiwa hana nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niiahie hapa[emoji40] [emoji40]
Sante shem[emoji4] [emoji4]Acha bana. Tafuna majani ya mlonge. Nasikia yanatibu majeraha ya mdomoni kwa kasi ya ajabu. Pole !!!
Mie siamin nadhan maigizo tuMmh!ndo siteresi za msiba ama?
Nimeshaenda kushangaaTena mmoja wao alikua mjamzito karibia kujifungua. Kaangalie ni link ya uzi upo humu jukwaa la hoja na habar mchanganyiko
Anatafuta huruma ya jamii?anyway apone harakaMie siamin nadhan maigizo tu
Mie nimemshangaa mjamzito ana kilanga khee si angejituliza home au hosp asubirie kujifungua badala ya kuhatarisha maisha kisa kuweka rekodiNimeshaenda kushangaa
Ila huyo mjamzito sishangai saaana shida hao wengine mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] mibaba na mimama uuuwiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akiwa hana nguo katika mazingira gani? Ya huko kazini kwako ama? Vinginevyo, kama misahafu ya dini iko sahihi, tuliumbwa ili tukae uchi. Kiherehere cha Eva ndo kilituletea hii shida ya kuvaa manguo azawaisi watu tungekuwa tunapuyanga tu kwa raha zetu nachurale kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh!mambo mengine bhana,vyenye binadamu anavyotisha akiwa hana nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja niiahie hapa[emoji40] [emoji40]
Tuko tofauti mamaaMie nimemshangaa mjamzito ana kilanga khee si angejituliza home au hosp asubirie kujifungua badala ya kuhatarisha maisha kisa kuweka rekodi
Itakua maana alishasema hakuwah mpenda jamaa. Na pia alimwambia kaota amefariki na kufurahia kuwa huru baada ya hapo. Jamaa akalalamika insta,watu wakamuona chiziAnatafuta huruma ya jamii?anyway apone haraka
Nitakualika siku moja twende kwenye nude beach ukaoshe macho [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Nimeshaenda kushangaa
Ila huyo mjamzito sishangai saaana shida hao wengine mama[emoji23] [emoji23] [emoji23] mibaba na mimama uuuwiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahahahaa jaman hujasahau tu mbio ati wavizia page 500k hio itakua yako maana humu wengi wameshasahau mbioNapita kuwasalimu na likes kwa pages mbili dakika hii..
ISIS mmemkimbiza au vipi wajameni?
Nataka kuvizia post ya 500k
Mazingira yoooote yaani namaanisha yote[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akiwa hana nguo katika mazingira gani? Ya huko kazini kwako ama? Vinginevyo, kama misahafu ya dini iko sahihi, tuliumbwa ili tukae uchi. Kiherehere cha Eva ndo kilituletea hii shida ya kuvaa manguo azawaisi watu tungekuwa tunapuyanga tu kwa raha zetu nachurale kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wakati mwingine tuqe makin na maneno tunayoongea sasa yeye anajisikiaje kwa maneno hayo aliyowahi mwambia na sasa jamaa kadanji,so sadItakua maana alishasema hakuwah mpenda jamaa. Na pia alimwambia kaota amefariki na kufurahia kuwa huru baada ya hapo. Jamaa akalalamika insta,watu wakamuona chizi