mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kumbe hiki chama bado kiko active eeeh?
Amina mkuu ndio tunajitahidi hata kama majukumu yanabana lakini tunaonekana kianaWewe ni nguzo ya uzi huu. Ukipotea tu uzi unayumba. Lala salama [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duNakupa na mtu akusindikize kabisa. Tuonane kesho ukisalimika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
07:5422:59
Dogo keshaanza kuelewa somo akiwa bado mdogo sana, hahahha huyu akikua ndio atakuwa dizaini za kina andjul.
Me sitaki kuwa mke wa pili maana ukoo hautanielewa...Pesa zipo za kununulia dagaa na unga wa muhogo. Njoo tu tuziponde ila Jakitoo wangu utambebea mbeleko gani hasa ukizingatia kuwa ndo nimehangaika naye kuzitafuta? Au uko radhi kuwa mke wa pili? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️