Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23498366_349954345415468_4041063711522160640_n.jpg
Wow[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Gunners wanajiandaa kuwakosa Alexis Sanchez na Mesut Ozil dirisha la uhamisho litakapofunguliwa mwaka mpya, ambapo wachezaji wote wawili wanamaliza mkataba wao mwisho wa msimu.
 
The Mirror limeripoti kuwa meneja Arsene Wenger anavutiwa kumsajili Martial kama mbadala wa Sanchez, ikizingatiwa winga huyo wa Kifaransa ameanza mechi tatu tu Ligi Kuu Uingereza kwenye kikosi cha United msimu huu.
 
Martial amefunga mara nne akitokea benchi, lakini bado yupo nyuma ya Marcus Rashford, Romelu Lukaku na Henrikh Mkhitaryna na nafasi yake kucheza itakuwa ndogo zaidi atakaporejea Zlatan Ibrahimovic.
 
Shaw, kwa upande wake amekuwa na wakati mgumu kwani mahusiano yake na Mourinho si mazuri na amepewa nafasi mara mbili tu kucheza kutokea benchi msimu huu - mechi alizocheza zikiwa za Kombe la EFL tu.
 
Pia Arsenal wametajwa kwenye tetesi za kutaka kumsajli kiungo wa United, Marouane Fellaini, ingawa miamba hao wa Old Trafford watakuwa wazito kuuza wachezaji kwa mahasmu wao wakuu sita.
 
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Gabon hatakuwepo kwenye kikosi kitakachoikabili Stuttgart, lakini timu yake haijathibitisha tatizo lake hasa
 
Back
Top Bottom