Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nishauri tu mamlaka zinazohusika kuelekea sasa katika shule zetu za sekondari ili kuhakikisha vijana walio shuleni wanapata elimu kuhusu virutubishi hivi wakati wa ujauzito ili kuepusha jamii na changamoto ya gharama za matibabu kwa watoto hawa.
 
Shuleni ndiyo sehemu pekee ambayo watu wanaweza kupata nafasi ya kujifunza mambo tofauti ambayo baadaye yanawawezesha kuishi vyema kwani baada ya shule watu wengi hujikuta wakiwa bize na harakati za maisha na kusahau masuala mengine ya msingi.
 
Najua wapo baadhi ya watu watakaolipinga hili kwa kudhani kwamba shuleni hapafai kuzungumzia masuala ya ujauzito, lakini niwaambie tu kwamba, kuna baadhi ya vitu tukiendelea kuviogopa, madhara yake ni makubwa zaidi ya tunavyodhani.
 
Katika somo la elimu ya viumbe hai (baiolojia) wanafunzi tangu kidato cha pili hufundishwa masuala ya mifumo yote ya uzazi na jinsi inavyoweza kufanya kazi.

Nadhani imefika wakati sasa somo hilo liende mbali zaidi ili kuelimisha namna ya kutunza pia ujauzito.
 
Tunahitaji kuunganisha nguvu ya pamoja ili kukabiliana na changamoto hii ambayo inasababisha gharama kwa Taifa na kupoteza nguvu kazi kubwa ya uzalishaji.

Tusaidiane kuiokoa jamii na tatizo hili ambalo linaepukika kwa njia tu ya kutoa elimu iliyo sahihi.

Nashauri, nguvu zielekezwe kuwandaa wasichana kuwa mama na baba wwenye elimu ya afya ya kutosha.
 
dce07a660ad9a69586b3866356875aaf.jpg
 
Back
Top Bottom