Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shemeji hatuwezi kula siksi paki ujue?Jibu swali shemeji. Utachagua kipi?
Mchana wako unaendeleaje?
Huku kwema. Tumshukuru Mungu shemeji yangu kipenzi sana sana mno kabisa gete gete [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Shemeji hatuwezi kula siksi paki ujue?
Me nachagua helaaa bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama tu nashukuru Mungu,sijui huko
Ila atakachokutana nacho apambane nacho na maswali sitaki[emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee...Ana bahati !!!
Tumbo halina masikani (ya kudumu) !!!Kumbe kweli pro kaelekea kijani!!
Hakuna hata mwenye ubora hapo
Jibu swali basi shemeji[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani shida ni nini? Ukame ama? Ni lazima kuwa kwenye mahusiano?
Vikiiva niite shemeji [emoji39] [emoji39] [emoji39]Numbisa kaweka picha za misosi kibao. Sasa njaa kali. Ngoja nikajipikilishe. Tuonane baadaye kidogo. Tumshukuru Mungu kwa yote !!!
Fo tu teni yiazi...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Jibu swali basi shemeji[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]