Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jibu swali shemeji. Utachagua kipi?Hizo siksi paki ama sifa khaa![emoji23][emoji23]
Jongwe limefikia ukomo wa madaraka...Jongwe
Wanne kaka
Hata akiitaka mwaka mzima achukue tu
Ngoja tu nipambane na hali yangu. Leo Mau U nawaombea mshinde. Leo sitaki kuona watu wakihuzunika. Yote kwa yote tumshukuru Mungu!!!ahahhaa maana mechi ya mwisho inapigwa saa mbili na nusu usiku man u vs Newcastle
Leta hiyo 5m hapa na make up nachoma moto kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Naam, kama ni jua ni lile lishazama nusu imebaki nusu...huzuni.Jongwe limefikia ukomo wa madaraka...
Aisee...Ana bahati !!!Hata akiitaka mwaka mzima achukue tu
Kumbe kweli pro kaelekea kijani!!Nasikia profesa karudi nyumbani kijanini...tayari kwenda kulichukua jimbo lililoachwa wazi na "Mmarekani"....
![]()