Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f48c37d6b8f2c6b0c406dcfbe8b83714.jpg
 
Saturday 18 November (15:00 GMT unless otherwise stated)
Arsenal v Tottenham Hotspur (12:30 GMT)
Crystal Palace v Everton
West Bromwich Albion v Chelsea
Burnley v Swansea City
Liverpool v Southampton
Leicester City v Manchester City
Bournemouth v Huddersfield Town
Manchester United v Newcastle United (17:30 GMT)
 
Sergio Aguero amejithibitishia yeye mwenyewe kuwa yuko fiti kuitumikia Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Leicester Jumamosi hii.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Argentina aliaunguka na kupoteza fahamu katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki baina ya nchi yake na Nigeria.
Lakini amewaondoa mashaka mashabiki wa Manchester City baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba yuko fiti.

"Niko tayari kwa mechi ya Jumamosi. Twendekazi Man City!", aliandika Aguero.
 
Back
Top Bottom