Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safi sana Wazimbabwe.....

Huko nje BBC, VOA na wapuuzi wengine wanapiga makelele utafikiri Mugabe ni shetani aliyepaswa hata kuuawa.
ZIMBABWE: Mamia ya watu wamekusanyika mjini Harare kushinikiza kujiuzulu kwa kiongozi wa Taifa hilo Rais Robert Mugabe. - Waandamanaji hao wanaungwa mkono na jeshi la nchi hiyo na wanachama wa chama tawala cha ANC. - Wakongwe waliopigana vita ya mapinduzi ambao walikuwa wanamuunga mkono Rais Robert Mugabe nao sasa wanasema aondoke.
 
0f7b02486d036cb96d196c0e9a100d39.jpg
 
Toa wingi wa sentensi hii:Kaka yangu ana mke.
Kaka zangu wana wake.

[emoji117][emoji117][emoji117]Ni tofauti na

Kaka zangu wanawake

Katika mazungumzo tofauti hizi tunazipata katika muktadha wa mazungumzo hayo; na hata tofauti ya mkazo na kiimbo.

Kwema huko Arachuga bilionea wangu?
 
Back
Top Bottom