ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Urojo upo hapo? pepsi itateremshia
Mambo ya pwani haya yananichanganya
KongoroKongoro au?
Kibongobongo nami nakuuliza we unaona nani ndo kaanzaNani kamuiga mwenzie?View attachment 632799
Safi sana Wazimbabwe.....
Huyo Mkenya. Mzee wa goli la mkono hata sina uhakika kama anaweza kunyoosha kimalkia namna hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kibongobongo nami nakuuliza we unaona nani ndo kaanza
Utotoni tuliziita ashkrimu