Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu hawajajua kutumia fursa ama? Lakini hata Kim yupo unique sana. Wengi wamejaribu style yake lakini wameshindwa. Wengine wametoa mpaka mikanda ya ngono lakini haikuwasaidia cho chote.Ajabu ni kwamba hapa kwetu mtu anataka afanye skendo halafu fedha ije baadaye.
...hasa mkiwa majirani wema [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Kupeana mambo
Watu hawajajua kutumia fursa ama? Lakini hata Kim yupo unique sana. Wengi wamejaribu style yake lakini wameshindwa. Wengine wametoa mpaka mikanda ya ngono lakini haikuwasaidia cho chote.
Watu hawajajua kutumia fursa ama? Lakini hata Kim yupo unique sana. Wengi wamejaribu style yake lakini wameshindwa. Wengine wametoa mpaka mikanda ya ngono lakini haikuwasaidia cho chote.
Wakati mwingine nadhani na elimu, exposure, bashasha, watu waliokuzunguka na vile mtu alivyo. Sanchi inasemekana anapiga hela ndefu wakati kawakuta makwini wenzake wa misambwanda akina Masogange wapo wapo tu.Mtu kama gigy money hawez mfikia kim.maana anawaza sifa kwanza na pesa kidogo sio pesa nyingi na malengo ya muda mrefu