Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sijui wakizeeka na ngozi kuchoka wanakuwaje....Waharibifu wa mwili
Amu fainiNimeitika carba... hawayu?
Dhisi izi totali mii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiba100
Yaani mtu anajichora chora hadi akivua nguo mwili kama choo cha shule ya msingi khaa![emoji57] [emoji57]
Shemeji ndo ume propozi kwa jaki ama[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ya buyenzeeeee
Jamaniii! Eti mwili kama choo cha shule ya msingi. Wenyewe wanaita ndo swaga. Wengine ni gang members na mamichoro haya yanakuongezea street cred. Ila kuna wanawake wengine vitatoo vinawapendeza hasa vikiwekwa mahali panapostahili. Ngoja nikomee hapa nisije nikaingia matatani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mtu anajichora chora hadi akivua nguo mwili kama choo cha shule ya msingi khaa![emoji57] [emoji57]
Yap...Maisha haya bwana wakati mwingine yanaweza kukosa hata maana. Sometimes you have to dig deeper ili kutafuta kusudi la kuumbwa kwako. It can be very confusing sometimes. Unaangalia mpira au upo kwenye series?Ya buyenzeeeee