Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8b059e18ea1ba43c35d5fefe8283c221.jpg

Uswizi....
 
Jamaniii! Eti mwili kama choo cha shule ya msingi. Wenyewe wanaita ndo swaga. Wengine ni gang members na mamichoro haya yanakuongezea street cred. Ila kuna wanawake wengine vitatoo vinawapendeza hasa vikiwekwa mahali panapostahili. Ngoja nikomee hapa nisije nikaingia matatani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] ila sio kwa marangi hayo,bora uke urembo wa pwani
Acha nisiongeze neno maana usije ingia matatani[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yap...Maisha haya bwana wakati mwingine yanaweza kukosa hata maana. Sometimes you have to dig deeper ili kutafuta kusudi la kuumbwa kwako. It can be very confusing sometimes. Unaangalia mpira au upo kwenye series?
Siangalii mpira mana si mpenzi wa mpira,na wala siangalii series niko tu nazurura humu jeiefu
 
Nyota huyo wa tenisi (36), alipendeza na gauni ya thamani pauni 2.6milioni iliyotegenezwa na Sarah Burton kwa mtindo wa Alexander McQueen, gauni hilo kubwa limelembwa kwa dhahabu XIV Karats jewellery. Wakati bwana harusi Alexis (34) alikuwa amevaa koti na suruali ya kijivu kutoka kwa Armani.
 
Newcastle were excellent early on and took the lead through Dwight Gayle and showed a lot of attacking threat. However, United grew into the game and eventually equalised through Anthony Martial, before Chris Smalling gave the hosts the lead in injury time to complete the comeback.
HALF-TIME: MAN UNITED 2-1 NEWCASTLE
 
New Orleans, Marekani. Jeuri ya fedha, hicho ndicho unachoweza kusema kwa Serena Williams aliyevaa gauni la harusi ‘shera’ lenye thamani ya pauni 2.6milioni (zaidi ya Sh700 milioni) katika harusi yake na mchumba wake Alexis Ohanian.
Pesa inatafutwa itumiwe na hayo ndo matumizi,huyu bidada naimani anaingiza mkwanja mrefu sana na ana mikataba minono mingi acha atumie pesaaaa
 
Back
Top Bottom