Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-18-21-21-09.png
 
Nyota huyo wa tenisi (36), alipendeza na gauni ya thamani pauni 2.6milioni iliyotegenezwa na Sarah Burton kwa mtindo wa Alexander McQueen, gauni hilo kubwa limelembwa kwa dhahabu XIV Karats jewellery. Wakati bwana harusi Alexis (34) alikuwa amevaa koti na suruali ya kijivu kutoka kwa Armani.

Dunia hii ina mambo sana,eti kuna watu humu wanadai mwanamke akifikisha 30s hawafai kuolewa!,ona ss Serena anaolewa akiwa na 36...

GuDume njoo kipande hii utoe neno...
Cc:GuDume
 
Back
Top Bottom