Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

54' GOOOAAALLL! UNITED EXTEND THEIR LEAD! Pogba marks his return to the United line-up by scoring their third goal of the evening here to make it 3-1. Lukaku did well to pick of Rashford at the far post, rather than go for goal himself he heads the ball back across goal to the on-rushing Pogba who has a simple tap-in.
 
9155db36a024b2e92d69d5183ca53145.jpg

kibonge[emoji7]
Jimama la kesho....
 
59' Newcastle try and break forward with a fast counter-attack from a United corner, however Valencia does well to cut out Shelvey's long ball forward and clear the danger for his side. The skipper is making his 300th appearance for United today and Nolberto Solano is the only South American with more appearances.
 
Mkojo hupata rangi yake ya njano kutoka kwenye “Urochrome”, Hata mara nyingi rangi ya mkojo hutofautiana kwa mtu na mtu, kutoka njano mpauko(Pale yellow)hadi kaharabu iliyokolea au rangi ya asali kutegemeana na kukolea kwa mkojo. Mkojo mzito uliokolea sana huashiria kutokunywa maji (ugiligili) vya kutosha.
 
Mwili wako unahitaji kiasi fulani cha maji ili ufanye kazi vizuri, hivyo kutokunywa maji vya kutosha husababisha mkojo kuwa mzito na uliokolea sana. Mkojo ukiwa na rangi ya njano mpauko inaweza kumaanisha unakunywa maji sana au umemeza/kuchomwa vidonge/sindano mfano Furosemide (Lasix) vinavyokojoza sana ili kusaidia mwili kuondoa maji ya ziada mwilini.
 
Mkojo unaweza kubadilika ukawa wa rangi kama zilizopo kwenye upinde wa mvua. Baadhi ya dawa hubadili rangi ya mkojo na kuufanya uwe kijani au bluu iliyofifia, ulaji wa karoti hufanya mkojo kuwa na rangi ya machungwa, wakati vitamini mbalimbali hufanya mkojo kuwa njano iliyofifia, ugonjwa wa kurithi uitwao Pofiria (Porphyria) hufanya mkojo kuwa na rangi ya mvinyo.
 
Daah !!! What a place. If wishes were horses i would've already landed in that place. Carbe anasema kila mtu apambane na hali yake
Uswizi wanajitahidi sana kutunza mazingira yao. Huko vijijini ukienda wakati ambao siyo wa baridi kunapendeza mno. Unavuta hewa ya baridi safi yenye kusisimua.
 
65' United certainly want a few more goals here, Pogba is dominant in midfield and his teammates are spraying the ball around the pitch with ease. Lukaku will be eager to get amongst the goals and break his goal drought, especially with the return of Ibrahimovic.
 
Back
Top Bottom