Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20d8cb8f67b43a2aa8839e0dda57cfad.jpg
 
Shirika la misaada la kijerumani GIZ nchini Tanzania limetoa vifaa tiba kwa ajili ya kukabiliana na vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao yani njiti, katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo utafiti ulifanyika kabla ya kutolewa kwa vifaa hivyo. Akikabidhi msaada huo uliogharimu tarkiban Euro elfu nane ambazo ni sawa na shilingi milioni ishirini za Tanzania balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Dr. Detlef Wächter, amesema nchi yake itaendelea kuunga mkono jitihada za kuimarisha sekta ya afya nchini humo kutokana na mahusiano mazuri yaliopo.
Jana ilikuwa siku ya Premature babies duniani
 
Aidha mkojo kuwa na harufu kali hii inaweza kumaanisha una ugonjwa au mawe kwenye njia ya mkojo (urinary stones), magonjwa yanaweza kutengeneza harufu kali inayofanana na amonia. Harufu ya amonia ni harufu kali ambayo inafanana na harufu ya ukuta ulikojolewa kwa muda mrefu.Wagonjwa wa Kisukari, wanaweza kuona mkojo wao una harufu tamu kutokana na sukari ya ziada kwenye mkojo wao.
 
Ikiwa unahisi kukojoa mara kwa mara na hukunywa ugiligili wa kutosha kukojoa mara kwa mara, hii inaweza kuwa inasababishwa na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI), ugonjwa wa kibofu (Interstitial Cystitis) ugonjwa unaosababisha kibofu kuvimba na kufanya mtu ahisi kibofu kujaa na kutaka kukojoa mara kwa mara, magonjwa ya kuvimba tezi dume, Kisukari, magonjwa ya mfumo wa fahamu kama Kiharusi (Stroke) na ugonjwa wa Parkinson.
 
Ikiwa mtu haendi kukojoa vya kutosha inaweza kumaanisha mirija kuziba au ina maambukizi au inaweza kuwa ni kwa sababu ya tabia iliyojengeka ya kujizuia kwenda kukojoa hasa kwa watu kama walimu, madaktari wa upasuaji na watu wengine ambao hawana muda wa kwenda kukojoa mara kwa mara kutokana na kuwa na shughuli nyingi. Kuchelewa kukojoa au kubana mkojo kunaweza kusababisha matatizo kwenye kibofu kwa sababu ya kulazimishwa kibofu kusinyaa hata kama mkojo umejaa.
 
70' Assist Juan Manuel Mata García
68' Stoppage in play here as Hayden is down receiving treatment following the challenge by Smalling. After receiving treatment from the physio he looks fine to continue.
 
70' GOOOAAALLL! LUKAKU SCORES! The striker finally hits the back of the net for United, ending his goal drought and puts his side 4-1 ahead here at Old Trafford. The striker was fed the ball by Mata, he then turned past Clark, before firing a powerful effort past Elliot and into the back of the net.
 
Back
Top Bottom