Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3552378cc4bd91401093cdf0bab8b703.jpg
 
Ikiwa mtu haendi kukojoa vya kutosha inaweza kumaanisha mirija kuziba au ina maambukizi au inaweza kuwa ni kwa sababu ya tabia iliyojengeka ya kujizuia kwenda kukojoa hasa kwa watu kama walimu, madaktari wa upasuaji na watu wengine ambao hawana muda wa kwenda kukojoa mara kwa mara kutokana na kuwa na shughuli nyingi. Kuchelewa kukojoa au kubana mkojo kunaweza kusababisha matatizo kwenye kibofu kwa sababu ya kulazimishwa kibofu kusinyaa hata kama mkojo umejaa.
 
Ikiwa huamka sana usiku kukojoa unaweza kupunguza kwa kuacha kunywa maji masaa matatu hadi manne kabla ya kulala. Pia, jizuie kunywa vinywaji vyenye kafeini kama chai kwa kuwa husisimua ukuta wa kibofu na kukufanya ujisikie kukojoa mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom