Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-18-21-20-14.png
 
Hapo tu picha za harusi yao zilidhaminiwa na jarida sijui vogue kitu kama hicho. Pesa ipo daah binadamu hatulingani labda mpaka kule jehanam pekee ndo tutakua na hadhi sawa. Na mumewe nae ana pesa ndefu
Pesa inatafutwa itumiwe na hayo ndo matumizi,huyu bidada naimani anaingiza mkwanja mrefu sana na ana mikataba minono mingi acha atumie pesaaaa
 
Wawili hao wamekuwa pamoja tangu 2015 na ndoa yao inakuja wiki 11 tu tangu walipopata mtoto wao wa kwanza, binti Alexis Olympia Ohanian Jr aliyezaliwa Septemba Mosi. Alexis ni mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Reddit.
 
Watu maarufu waliohudhuria harusi hiyo ni pamoja na Beyonce, Kim Kardashian, Caroline Wozniacki na Eva Longoria. Kim aliwasili kwa ndege ya kukodi akiwa na rafiki wa dada yake, Khloe, Malika Haqq na dada yake Malika, Khadija. Mrembo Caroline Wozniaci yeye aliambatana na mchumba wake mpya, staa wa NBA, David Lee.
 
Back
Top Bottom