Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2a1e2454eb4b4afebbae1dde9e9628b4.jpg
kwa wote msikae kizembe[emoji6]
ledada
 
Kabisa Mkuu.

Hili ni jambo kubwa sana,mi naamini kushkuru kunaleta afya, kwa sababu ukishukuru ina maana umeridhika na hali ulonayo, na kama umeridhika ina maana moyo wako utakuwa huru hutokuwa na presha kwa nini umekosa au kwa nini fulani kapewa nami sijapewa utaridhika, kama ni usiku basi utamwomba mola akulaze salama na kesho akuamshe salama na akufungulie milango mingine ya kipato.
 
Back
Top Bottom