Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1511108814223.jpg
 
Wanawake na wanaume wote ni wahanga wa matumizi ya vipodozi hivi vyenye kemikali lakini wanawake ndiyo wahanga zaidi wa vipodozi mbalimbali kutokana na ukweli kuwa wanawake ndio waumini zaidi wa bidhaa za vipodozi kuliko wanaume.
 
Kama ambavyo imezoeleka, wanawake hutumia njia hizi za vipodozi kwa lengo la kujipa urembo zaidi wa muonekano wa ngozi zao na nyuso zao. Lakini pia bila shaka wanawake hawa pamoja na matumizi yao makubwa ya vipodozi hivi mbali mbali, wanaijua ile dhana ya kuwa vipodozi vyenye kemikali ni hatari kwa afya ya ngozi.
 
Naomba niwakumbushe wanawake na wote wenye utamaduni wa kutumia aina mbalimbali za vipodozi, vipodozi sio tu vina madhara kwenye afya ya ngozi pekee, lakini pia vipodozi vinaweza kuleta madhara ya kiafya makubwa zaidi hata kwenye viungo vingine vya mwili
 
na kuleta madhara ya kiafya na hata kifo kutokana na aina mbalimbali za kemikali zilitumika kutengeneza vipodozi hivyo. Hivyo ni vyema wanawake wakayafahamu madha mengine makubwa ya kiafya yanayosababishwa na matumizi ya vipodozi hivi vyenye kemikali mbalimbali kama nitakavyoeleza.
 
93. Why food cook faster in pressure cooker ?

The trapped steam increases the atmospheric pressure inside the cooker by 15 pounds per square inch (psi), or 15 pounds above normal sea-level pressure. At that pressure, the boiling point of water is increased from 212°F to 250°F. This higher temperature is what cooks food faster.
 
na kuleta madhara ya kiafya na hata kifo kutokana na aina mbalimbali za kemikali zilitumika kutengeneza vipodozi hivyo. Hivyo ni vyema wanawake wakayafahamu madha mengine makubwa ya kiafya yanayosababishwa na matumizi ya vipodozi hivi vyenye kemikali mbalimbali kama nitakavyoeleza.
 
94. Why does milk help with spicy food ?

Spicy foods contain a substance from chillies called capsaicin. Capsaicin stings taste buds, and milk binds with the hot capsaicin oils to disperse them. Cold water is not effective to mitigate spiciness because water-based liquids spread capsaicin and likely increase the burning sensation.
 
95. How does digital camera works?

A digital camera takes light and focuses it via the lens onto a sensor made out of silicon. It is made up of a grid of tiny photosites that are sensitive to light. Each photosite is usually called a pixel, a contraction of "picture element". There are millions of these individual pixels in the sensor of a DSLR camera.
 
96. What does ozone layer do ?

When the ozone layer absorbs the sun's ultraviolet radiation, it creates a source of heat and regulates the temperature of the Earth's atmosphere. If the ozone didn't filter the sun's ultraviolet radiation, most of it would reach the Earth's surface, which would be dangerous for plants and animals.
 
Back
Top Bottom