A water-jet printer (or waterjet printer) is a printer that makes use of paper coated with special dyes and ink cartridges filled with water to print paper copies of documents. To create rewritable paper the researchers used four oxazolidines.
Jukumu la malezi linatoka kwa Mungu na mzazi hana budi kulitekeleza maadam ameamua kumleta mtoto duniani. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na nidhamu
Unamwambia mtoto sala na ibada ni muhimu katika maisha – wewe unasali? Je, mnahudhuria ibada pamoja? Kupitia maisha unayoishi utamjengea mtoto misingi ya kiakili na kiimani ili kama ilivyo kwa chakula bora awe na uwiano sawia katika maisha.
Bahati mbaya wazazi/walezi wengi huingia katika shughuli hii wakiwa ndiyo kwanza bado vijana. Lugha za ujana na misemo iliyo mingi huwa bado inazo chembe za utovu wa nidhamu. Ukiwa mzazi – mtoto anakusikia, anakuiga. Chagua maneno.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.