Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

23507434_1518429904910897_4263231701045477376_n.jpg
 
Isipokuwa kwa vipaji na tabia za kurithi – mzazi/mlezi wewe una jukumu la ‘kuumba’ tabia na kukuza vipaji vya mtoto. Ukiwa kama mwalimu wa kwanza wa mtoto, mwandae kwa ajili ya elimu ya shule (awali, msingi, sekondari, nk.) na stadi za maisha.
 
Numbisa hili ni kweli LAKINI inakuwaje watoto wa nyumba moja wamelelewa katika jamii ile ile, wazazi wale wale, mazingira yale yale baadhi wanakuwa na tabia zinazokubalika katika jamii na wengine wanakuwa tofauti kabisa na tabia zao hazikubaliki katika jamii?

Utakubaliana nasi kuwa ‘shule’ ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika.
 
Hii inakwambia kwamba malezi yanaanza mara tu uwapo mjamzito. Punguza ugomvi usio lazima na ikiwezekana jenga mazingira rafiki kwa kuwa mwenye furaha wakati mwingi. Mara tu unapomtia mikononi mwako kichanga wako – anza kumsemesha.
 
Numbisa hili ni kweli LAKINI inakuwaje watoto wa nyumba moja wamelelewa katika jamii ile ile, wazazi wale wale, mazingira yale yale baadhi wanakuwa na tabia zinazokubalika katika jamii na wengine wanakuwa tofauti kabisa na tabia zao hazikubaliki katika jamii?
Hili swali akijibu shimba itapendeza zaidi.

Maana ni swala pana,tabia nyingine za watu zinatokana na kurithi toka kwenye jina,kabila,mazingira ya shule na marafiki atakaokutana nao shule na mitaani. Huku nilipo kuna watoto mapacha wanafanana sana ila tabia tofauti,mmoja mcheshi,mpole,anapatana na watu mwingine mkimya,kiburi hajichanganyi na watu. Wote wa kike miaka kama 11 hivi
 
Back
Top Bottom