Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-19-14-14-37.png
 
This love is unconditional affection with no limits or conditions: completely loving someone. It's when you trust the other with your life and when you would do anything for each other. When you love someone you want nothing more than for them to be truly happy no matter what it takes because that's how much you care about them and because their needs come before your own. You hide nothing of yourself and can tell the other anything because you know they accept you just the way you are and vice versa.

It's when they're the last thing you think about before you go to sleep and when they're the first thing you think of when you wake up, the feeling that warms your heart and leaves you overcome by a feeling of serenity. Love involves wanting to show your affection and/or devotion to each other. It's the smile on your face you get when you're thinking about them and miss them. [emoji267] [emoji267]
 
Love can make you do anything and sacrifice for what will be better in the end. Love is intense,and passionate. Everything seems brighter, happier and more wonderful when you're in love. If you find it, don't let it go.[emoji267] [emoji267] [emoji267] [emoji267]
 
Hili swali akijibu shimba itapendeza zaidi.

Maana ni swala pana,tabia nyingine za watu zinatokana na kurithi toka kwenye jina,kabila,mazingira ya shule na marafiki atakaokutana nao shule na mitaani. Huku nilipo kuna watoto mapacha wanafanana sana ila tabia tofauti,mmoja mcheshi,mpole,anapatana na watu mwingine mkimya,kiburi hajichanganyi na watu. Wote wa kike miaka kama 11 hivi
Numbisa. Kwa nini mimi bageshi?

Mbona jibu lako linajitosheleza kabisa? Ukweli ni kwamba binadamu ni kiumbe tata sana na bado kuna mengi ambayo hayajajulikana kumhusu. Wanasaikolojia wamehangaika na suala hili la tabia kwa maelfu ya miaka kuanzia kwa Wagriki wa kale mpaka sasa mjadala bado unarindima. Nadhani kila mmoja sasa anakubali kuwa tabia ya mtu inatokana na mazingira pamoja na vitu vya kuzaliwa nayo. Kuna documentary ndeefu na ya kina sana imetolewa na wanasaikolojia wa Harvard na kwingineko wakijaribu kuelezea kwa nini watu wengine wanakuwa maserial killers na wengine sivyo hata kama wamekulia katika familia moja na wana matatizo yale yale kisaikolojia, kimalezi, kijamii na vinginevyo.

Kuna matumaini makubwa kuwa pengine huko mbele ya safari tutaweza kumwelewa binadamu zaidi kutokana na taaluma ya Genetics, taaluma ambayo imefanikiwa kutufunulia siri nyingi za binadamu kwa muda mfupi tu. Tangu binadamu afanikiwe kuzipambanua genes zote za mwanadamu mkazo sasa upo katika kuelewa kila genes inavyofanya kazi na athari zake kwa mwenye nayo. Tayari majumuisho yameanza kufanywa kwamba, mbali na mazingira, inawezekana tabia zote za binadamu zinatawaliwa na genes mbalimbali; na kwa vile hakuna watu wenye genes zinazofanana kwa asilimia 100 (hata identical twins) basi kila mmoja anategemewa kuwa na tabia tofauti na mwenzake. Ukweli huu ndiyo umeleta msisimko mpya hata kwenye taaluma ya tiba na Marekani na Ulaya sasa wanaangalia kwanza genes za mgonjwa ili kujua aina ya tiba ambayo itafanya kazi vizuri zaidi kuliko nyingine. Matibabu ya kansa mbalimbali kwa sasa yanaelekea katika njia hii. Ni kwa sababu hii pia wanaamini kuwa kuna watu wana genes zinazowafanya wawe susceptible kujihusisha na ushoga na usagaji, kutokuwa na huruma (na hivyo kujihusisha na mauaji ya kutisha) na tabia zingine za kutisha na ambazo hazikubaliwi katika jamii.

Ndiyo tu tumeanza kumwelewa binadamu kwa undani wake. Na hapa bado hatujaanza kuongelea masuala mengine ambayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi kama athari ya nguvu za kiroho na maingiliano ya nguvu za ndani na utashi.
 
This love is unconditional affection with no limits or conditions: completely loving someone. It's when you trust the other with your life and when you would do anything for each other. When you love someone you want nothing more than for them to be truly happy no matter what it takes because that's how much you care about them and because their needs come before your own. You hide nothing of yourself and can tell the other anything because you know they accept you just the way you are and vice versa.

It's when they're the last thing you think about before you go to sleep and when they're the first thing you think of when you wake up, the feeling that warms your heart and leaves you overcome by a feeling of serenity. Love involves wanting to show your affection and/or devotion to each other. It's the smile on your face you get when you're thinking about them and miss them. [emoji267] [emoji267]
Jakiiii !!! This is deep! Mapenzi ya hivyo kwa sasa yameanza kuwa nadra na ni bahati sana kumpata mtu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom