Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-19-21-38-03.png
 
Numbisa. Kwa nini mimi bageshi?

Mbona jibu lako linajitosheleza kabisa? Ukweli ni kwamba binadamu ni kiumbe tata sana na bado kuna mengi ambayo hayajajulikana kumhusu. Wanasaikolojia wamehangaika na suala hili la tabia kwa maelfu ya miaka kuanzia kwa Wagriki wa kale mpaka sasa mjadala bado unarindima. Nadhani kila mmoja sasa anakubali kuwa tabia ya mtu inatokana na mazingira pamoja na vitu vya kuzaliwa navyo. Kuna documentary ndeefu na ya kina sana imetolewa na wanasaikolojia wa Harvard na kwingineko wakijaribu kuelezea kwa nini watu wengine wanakuwa maserial killers na wengine sivyo hata kama wamekulia katika familia moja na wana matatizo yale yale kisaikolojia, kimalezi, kijamii na vinginevyo.

Kuna matumaini makubwa kuwa pengine huko mbele ya safari tutaweza kumwelewa binadamu zaidi kutokana na taaluma ya Genetics, taaluma ambayo imefanikiwa kutufunulia siri nyingi za binadamu kwa muda mfupi tu. Tangu binadamu afanikiwe kuzipambanua genes zote za mwanadamu mkazo sasa upo katika kuelewa kila genes inavyofanya kazi na athari zake kwa mwenye nazo. Tayari majumuisho yameanza kufanywa kwamba, mbali na mazingira, inawezekana tabia zote za binadamu zinatawaliwa na genes mbalimbali; na kwa vile hakuna watu wenye genes zinazofanana kwa asilimia 100 (hata identical twins) basi kila mmoja anategemewa kuwa na tabia tofauti na mwenzake. Ukweli huu ndiyo umeleta msisimko mpya hata kwenye taaluma ya tiba na Marekani na Ulaya sasa wanaangalia kwanza genes za mgonjwa ili kujua aina ya tiba ambayo itafanya kazi vizuri zaidi kuliko nyingine. Matibabu ya kansa mbalimbali kwa sasa yanaelekea katika njia hii. Ni kwa sababu hii pia wanaamini kuwa kuna watu wana genes zinazowafanya wawe susceptible kujihusisha na ushoga na usagaji, kutokuwa na huruma (na hivyo kujihusisha na mauaji ya kutisha) na tabia zingine za kutisha na ambazo hazikubaliwi katika jamii. Ndiyo tu tumeanza kumwelewa binadamu kwa undani wake. Na hapa bado hatujaanza kuongelea masuala mengine ambayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi kama athari ya nguvu za kiroho na maingiliano ya nguvu za ndani.
Sababu napendaga magazeti yako ya ufafanuzi full burudani na mifano kuntu. Upo vizuri shimba. Awesome answer
 
Inawezekana hakuwa wa kwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia sentensi zinazofanana na hizi hususani kwenye vinywa vya watu, marafiki au ndugu zetu ambao wamewahi kuachana, kutengana au kuvunja mahusiano.
 
Inawezekana hakuwa wa kwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia sentensi zinazofanana na hizi hususani kwenye vinywa vya watu, marafiki au ndugu zetu ambao wamewahi kuachana, kutengana au kuvunja mahusiano.
 
Kila mmoja wetu hushangaa na kuchanganyikiwa akifikiria kwa nini mapenzi ambayo yanaonekana kunoga kiasi hiki yanaishia kwenye machungu na majuto kiasi hiki. Kwa nini muda mzuri tuliouwekeza kwenye mioyo ya wapenzi wetu unaishia kupotea kihasara namna hii?
 
Jambo hili huwatatiza wengi sana na yamkini wewe ni mmoja wao. Tafiti za kisaikolojia kwenye eneo la mahusiano pamoja na yale mengi tunayokutana nayo kwenye kuwashauri wapenzi na wanandoa wengi yametufanya kufikia hitimisho kwamba mapenzi huwa yana hatua zake
 
na kwa bahati mbaya wapenzi wengi wanashindwa kuziendea hatua hizo moja baada ya nyingine badala yake wanaishia njiani, kama nilivyosema kwenye utangulizi kwamba wengi huishia hatua ya tatu. Fuatana nami katika makala hii uzielewe vizuri zaidi hatua hizi zitakazokusaidia sana.
 
Kuingia katika penzi

Hii ni hatua ya mwanzoni kabisa wakati umekutana na mtu ambaye unaona kama ni ndoto yako imekuwa dhahiri. Mtu uliyemtamani kwa muda mrefu sana. Hapa unajihisi mwenye furaha kuliko mtu yeyote yule. Hisia zako zote zinatawaliwa na mihemko ya kuwa na huyo unayemfia.
 
Back
Top Bottom