Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1511039316140.png
 
Ukiacha mapenzi na mahusiano ya jinsia moja (ambayo yamepitishwa na kufanywa sheria na serikali mbalimbali ) sasa limekuja la kutisha zaidi. Mungu kamuumba mwanaume na mwanamke. Karibuni Wazungu wameanza kutetea watu wasiotaka kuwa wanaume au wanawake
 
Wakati naishi kule niliwahi kuhadaiwa. Nlidhani nimeopoa binti mzuri sana. Nikatoka naye. Ila tulipofika; alipochojoa mavazi nikashangaa kujua ni mwanaume. Sijawahi kutishika kama siku hiyo. Na yalikuwa mabaya zaidi alipotoa “mguu wa kuku” na kunitisha nimwage fedha au nitapigana mabusu na vumbi la kaburi.
 
Brazil si mchezo, na sifa za viumbe hawa zinajulikana kwa waliowahi kutembelea mle. Leo Uzunguni sheria mpya zinapitishwa. Si tu bungeni. Lugha mpya inakuuzwa kutetea watu hawa wanaoitwa “Transgender”....vyoo vya hadhara vimeanza kugeuzwa. Hakuna uume na uke bali “msala mseto.” Lugha zinabatilishwa na mashuleni wanaanza kukaribisha watu hawa (“drag queens”) kufundisha watoto wadogo sana (chekechea) kutochanganua uume na uke ; kutojali mtu yukoje.
 
Serikali ya Uingereza imefikia hadi kupendekeza Umoja wa Mataifa utifue tifue lugha na kuwaita akina mama waja wazito “watu wenye mimba” ili isiwadhalilishe wanaume wanaotumia dawa za kubadilisha jinsia na kuzaa. Kifupi wenzetu weupe wanavunja vunja “mtazamo mzima wa asilia ya mwanadamu.”
 
Na je tutaaacha yetu na kusujudu “yao” kama tulivyo na mitandao, soka na dini za kigeni?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Numbisa

COLEWORLDLOVESYOU
 
Back
Top Bottom