Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1511117499859.jpg
 
Hello Wakuu..!
Kitambo sana kuwepo mtaa huu, lkn kuona mkiendelea kuambaa ambaa katika uzi huu ni ishara kuwa Mungu anaendelea kuwapigania na bado anategemea mengi kutoka kwenu kuathiri huu ulimwengu katika namna chanya..! Pamoja katika kukamilisha dahari..! Nawapenda na usiku mwema..!
 
Katika kipindi hiki kiu ya kuwa pamoja imekufa na kuzikwa kabisa, wengine wanatafuta maeneo ya kupumulia ilimradi asiwe nyumbani, wakushinda baa ndio anapotelea huko kabisa, wakushinda kazini ndio atakaa huko hadi usiku wa manane kama vile mfanyakazi bora kumbe ana maumivu, wakushinda makanisani basi ndiyo utadhani kaambiwa Yesu anarudi kesho kumbe anamkimbia mwenza wake. Yaani kushoto na kulia kote kunakuwa shubiri.
 
Back
Top Bottom