Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

06fcd62dc44227652c617f659aca82ae.jpg

Cinderella[emoji3] [emoji3]
 
Ama kweli hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho !! Robert Mugabe atakiwa kujiuzulu mwenyewe kuanzia sasa hadi Kesho iwe tayari la sivyo Nguvu itatumika kumtoa madarakani. Mkewe Grace Mugabe amefukuzwa kabisa uwanachama
 
chama tawala, kimeungana na wapinzani na wananchi kumtaka Mugabe aondoke ikulu faster baada ya kuwekwa kizuizini na jeshi la nchi hiyo tangu Jumatano huku jeshi likisema pia Mugabe amezungukwa na wahalifu kwa muda mrefu .
 
Nchi hiyo kwasas ipo Kwenye hali ya sintofahamu kiuchumi na kidemokrasia kufuatia utawala wa kiimla wa Mugabe tangu 1980 . ZANU-PF wamemuondoa Mugabe uongozi wa juu chama tawala na kuandika . "Former president Robert Mugabe has been given until 12 tomorrow to resign from his government deployment. He must now step down as president of Zimbabwe or we will be forced to remove him
 
Ama kweli hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho !! Robert Mugabe atakiwa kujiuzulu mwenyewe kuanzia sasa hadi Kesho iwe tayari la sivyo Nguvu itatumika kumtoa madarakani. Mkewe Grace Mugabe amefukuzwa kabisa uwanachama
Afadhali. Kwa kila mafanikio ya mwanaume, kuna mwanamke nyuma yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom