Alikuwa amelewa, lakini aliposikia damu yake mwenyewe ikiweka ahadi ya kumuua siku moja bia ziliondoka kichwani na kwa kutumia akili yake safi akagundua kuwa njia anayopitia haitamuacha salama — anahitaji kujitathimini.
Ukweli usiopingika ni kwamba wanaume wengi ni walevi na tunapenda pombe, lakini wengi wetu hazitupendi. Na ili kujua kama una kichwa cha pombe au la we tazama matendo yako ukishalewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.