Ukiona baada ya kunywa tu unayajua matusi yote hata ambayo bado hayajanza kutumika— basi elewa pombe hazikupendi. Na cha kufanya ni kuanza kufanya utafiti wa soda gani zitakufaa kati ya za machungwa au zabibu.
na una mawili ya kuchagua, kati ya kuachana na habari za ulevi au uanze mazoezi ya masumbwi ili labda siku moja ukapeperushe bendera ya Taifa kwenye nchi za watu huko kupitia ndondi za kulipwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.