Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muwashukuru sana hao ndugu kwa kuwa na moyo wa kuwalea. Hata kama mliteswa na kupitia changamoto za hapa na pale, daima washukuruni hao ndugu zenu kwa angalau kuwa na moyo huo. Ni kwa kufanya hivyo tu ndiyo mtaishi maisha ya furaha, yenye ridhiko na mibaraka mingi itawarudia. Hata kama hao ndugu waliwatesa, rudini sasa kwao na kutoa shukrani. Waliwapitisha katika moto. Sasa nyie ni almasi safi. Ng'aeni !!!
 
09b19ecd05ac9ccddfbd3a5466a0a489.jpg
 
Back
Top Bottom