Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3a0d03730b27d6b781b29c18108cecfa.jpg
 
Muwashukuru sana hao ndugu kwa kuwa na moyo wa kuwalea. Hata kama mliteswa na kupitia changamoto za hapa na pale, daima washukuruni hao ndugu zenu kwa angalau kuwa na moyo huo. Ni kwa kufanya hivyo tu ndiyo mtaishi maisha ya furaha, yenye ridhiko na mibaraka mingi itawarudia. Hata kama hao ndugu waliwatesa, rudini sasa kwao na kutoa shukrani. Waliwapitisha katika moto. Sasa nyie ni almasi safi. Ng'aeni !!!
Nimesoma mengi kwenye hio thread. Ila nisidanganye sijawah lelewa na ndugu ,mida mwingi wazazi wapk karibu nami. Siwezi laumu ndugu wakati sifahamu mateso yao ila siwezi sahau maneno yao ya hapa na pale ya kukera na kufurahisha
 
Afya tele. Leo hata kusalimiana leo hakuna tunapishana tu hapa kulikoni? Kwema? Blue Monday inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwema kabisa SYB.... Blue monday ipo inaishaisha[emoji120] [emoji120] [emoji120] . Hawayuu?
Uwe na jumatatu njema[emoji4]
 
You are unique in your own way. You are special and wonderful in your own way.

You are full of great talents to add a whole lot to the world. You have hidden values inside of you that no one has. Ideas that can influence a change in the world are inside of you.

No matter what your situation is. It doesn't matter if you are physically challenged or you have been labelled as a nonentity. I don't care if certain people that can't see your potential have named you a nobody. The number of times you have tried and failed doesn't matter here.

Hear my words to you. I say you are unique in your own way. You are different and special the way you talk, walk, reason, think, do business, carry out your ideas and utilise your talents.

Believe in my words and claim them. Believe in yourself and capability. Don't let anyone label you what you are not! Determine to make your mark.

Decide to live a life that defines your existence. Decide to prove doubters wrong. Discover your talents and start living a meaningful and successful life.

You deserve something exceptional. You deserve success!
 
Back
Top Bottom