Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi busara hizi[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Aiseeee ! Sasa tutajuaje kama demu wake mwenyewe hasemi kama ana mchumba? Tatizo ni letu sisi au la huyo mchumba wake? Na kama huyo mchumba anamfanyia hivyo sasa wakiwa bado wachumba, akija kumweka ndani ndo atatulia? Pathetic !!!
Umeona eeh?yaan kaacha kumkanya huyo mchumba wake anakuja ku deal na mhusika mwingine pengine hata hajui kama huyo bidada ni mchumba wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…