Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemejiiii......

Sasa huoni uhongaji wake umemtokea puani? Ametelekeza washirika wake wa muda mrefu wakipigana msituni kumwondoa Mwingereza kisa mwanamke. Tena ana bahati vijana wamemheshimu vinginevyo wangemkurupua kama huyu mwenzake wa Ivory Coast alivyofanyiwa...
40294335b13434d43fa5f991c4da9745.jpg
Sijui hata kwanini wanasiasa wanapenda madaraka hivi,yaani wako radhi kuhatarisha maisha ya watu sababu ya matumbo yao,dah!
 
Back
Top Bottom