Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wana kesi nyingi mpaka za kubaka hawa; na kambi hiyo ni chanzo cha migogoro mingi na serikali ya Japan sema tu Wajapan hawako sawa (kijeshi) tangu waonjeshwe yale mabomu ya Nyuklia na Harry Truman.Wanajeshi wa Marekani katika kisiwa hicho cha Okinawa pia wametakiwa kusalia katika kambi ama nyumbani.